Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mkuu shukrani sana..Mzigo nishaupata kuna vijana wangu walikuja officine kwako last week ijumaa ukawahuduhumia fresh wamesharudi dar na kunikabidhi nimeutest nimeridhika now...!! Wall mount zake vp...nasikia uliishiwa so zikiingia naomba tuwasiliane nahitaji nayo!!
Asante mkuu, inshàa Allah zikiingia nitakupa kama offer tu, kila la heri
 
Sharp LED tv32inches
3hdmi ports
usb1port
vga port
inbuilt decorder
condition_used over 4months
price 650000tshs.
 
Salaam wadau..ninaimport TVs na Home theatres pamoja na vifaa vya umeme kama PS4,nazitoa Dubai.Kama unahitaji waeza nipa specifications nikakupa bei na kujuletea mpaka hapa uaknilipa...bei ni poa kabisa.Mfano LG 55 smart nauza kwa mil 2.4 wakati hapa mjini ni mil 2.8
tv inch 24 brand za lg na samsung napata kwa bei gani?
 
nahitaji muuzaji wa jumla wa tv brand tofauti tofauti, ni pm tuongee biashara
 
wakuu ni kifaa gani naweza kutumia ili mtumiaji ameweze kubadili channels za kingamuzi kwa kutumia remote ya TV, kingamuzi ni kimoja lakini nataka tv zaidi ya moja ndani ya nyumba ziweze kutumia hicho kingamuzi na kunadili channel watakavyo
 
Anayehitaji Hisense mpya...ipo ndani ya Box lake japo imetumika kidogo....Flat Screen Nchi 43 bei Milioni 1.2
 
1475772555816.jpg
singsung led 25"
Price: 270000
 
1475826779607.jpg
1475826826988.jpg
lg led 32"
New 2016
1hdmi port
1usb port
One av in
Price: 440000
 
Samsung led 32"
New 2015
Model UA32J4003AK
Series 4
1hdmi port
1usb port
1av in
Price: 450000
1475827496219.jpg
1475827531428.jpg
 
Back
Top Bottom