Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Naweza kuona picha yake kiongozi...?
.
IMG-20201220-WA0007.jpeg
 
Nna 400k naweza pata tv inch 40, njoo pm na picha tumalize biashara
 
Nauza Android Tv mpya kabisa niliinunua kwa ajili ya matumizi yangu binafsi lakin imenipasa niiuze kutokana na matatizo,,Ipo kwenye box,,saiz ni inch 50,,ina play store,,ina bloetooth,,ina internal memory 12gb.... Ina risiti na warranty ya miaka 3 ... Nahitaji laki 9 .... Nipo Kinondon studio,,,0746960666View attachment 1699752
Ukifika 750 nichek
 
Kuna 500,000
 
Karibuni kwa mahitaji ya vifaa vyote vya electronics kwa bei rahisi na ufanyiwe delivery, ni bei ambayo hata dukani huwezi ikuta.. cheki na huyu 0714953336
0785657273 ( SONTERA) KWA UHAKIKA MALIPO AFTER DELIVERY.

PIA WAWEZA KUJA NA BAJETI YAKO AKAKUSHAURI..

LIST (TV, SUBWOFER,BLENDER,JUGS, MAJIKO PLATE MBILI(GAS), WALL BRACKET,FLASH, FRIDGES, PASI, RICE COOKER, MICRO WAVES (ZA KUOKA NA KUCHOMA MFUMO DIGITAL) ..NK..

KARIBU NIKUHUDUMIE.. Kariakoo DDC tulipo
 
karibuni kwa mahitaji ya vifaa vyote vya electronics kwa bei rahisi na ufanyiwe delivery,ni bei ambayo hata dukani huwezi ikuta.. cheki na huyu 0714953336
0785657273 ( SONTERA) KWA UHAKIKA MALIPO AFTER DELIVERY.

PIA WAEZA KUJA NA BAJETI YAKO AKAKUSHAURI..

LIST (TV,SUBWOFER,BLENDER,JUGS,MAJIKO PLATE MBILI(GAS), WALL BRACKET,FLASH,FRIDGES,PASI,RICE COOKER, MICRO WAVES (ZA KUOKA NA KUCHOMA MFUMO DIGITAL) ..NK..

KARIBU NIKUHUDUMIE..kariakoo ddc tulipo
Weka bei ya tv mkuu, alafu unieleweshe unavyosema malipo ni baada ya delivery unakuwa umemaanisha nini, maana me nimeelewa baada ya kuupokea mzigo ndio nakulipa
 
Wakuu nipo nje ya mada kidogo nilikuwa nauliza naweza kupata wapi Acoustic guitar yenye kutoa melody kwa kiwango kizuri kwa bei nafuu iwe used or mpya
 
Back
Top Bottom