Rcrusso Jr
Senior Member
- Jul 26, 2020
- 184
- 421
Kuweka bei zote hapa ni mlolongo mrefu kiongozi kwa maana tv zipo za ukubwa tofauti na company tofauti tofauti hivyo ni vyema wewe kuja na kampuni na ukubwa unaohitaji mimi nitakupatia bei bila wasi.. karibu sana au waweza whatsap / kupiga number 0714953336.. pia waweza kuja na bajeti yako nikakuambia hapo utapata company gani na ukubwa upi kwa uhitaji wako.. shukrani.Weka bei ya tv mkuu, alafu unieleweshe unavyosema malipo ni baada ya delivery unakuwa umemaanisha nini, maana me nimeelewa baada ya kuupokea mzigo ndio nakulipa