Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Weka bei ya tv mkuu, alafu unieleweshe unavyosema malipo ni baada ya delivery unakuwa umemaanisha nini, maana me nimeelewa baada ya kuupokea mzigo ndio nakulipa
Kuweka bei zote hapa ni mlolongo mrefu kiongozi kwa maana tv zipo za ukubwa tofauti na company tofauti tofauti hivyo ni vyema wewe kuja na kampuni na ukubwa unaohitaji mimi nitakupatia bei bila wasi.. karibu sana au waweza whatsap / kupiga number 0714953336.. pia waweza kuja na bajeti yako nikakuambia hapo utapata company gani na ukubwa upi kwa uhitaji wako.. shukrani.
 
Plasma TV inchi 50 inahitajika yake mazito Kwa kazi ya mpira, weka picha na bei tafadhali kama unayo..iwe imenyooka
 
Inahitajika led tv hysense au tcl full box 43 inch
450k ipo mfuko wa shati
 
Sony home theatre watts 1000 spika fupi zote
Bluetooth
Hdmi
Optical
Price 450,000tsh
Location Dar
 
Mahitaji kuweka TV kwenye nyumba ya kulala wageni.
Hofu yangu kubwa ni kuibwa.
Nimesikia kuna kifaa kinawekwa ndani ambacho kinawezesha kuiona/kuifuatilia kokote ilipo.
Nimeambiwa waweza kutumia hiki kudhibiti kuibwa.
Je, ni kweli?
Ufanisi wake ukoje?
Kinauzwaje?
 
NAUZA TV :
ORIGINAL SAMSUNG Smart TV 32INCH, imetumika kwa mwaka mmoja. Bei 350k. Haina tatizo lolote. Nicheki kwa namba 0714925198 kama UNAHITAJI.
Ina PIP,
 

Attachments

  • 30B70AD3-BC73-427B-B261-EB52C99FFA77.jpeg
    30B70AD3-BC73-427B-B261-EB52C99FFA77.jpeg
    29.2 KB · Views: 5
Back
Top Bottom