Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Duh, mkuu hua unanunua used? Ukiachana na samsung tunazo
Lg uhd 55" 1400000
Lg Nanocell 55" 1700000
Tcl Android 55" 1050000
Hisense frameless 55" 1100000
Mkuu una tv gani smart na latest 55" brand ambayo sio samsung na bei zake. Nimekosa imani na samsung huwa zinazingua na kufa zinaonyesha mirangi rangi mieusi bila sababu.
 

Attachments

  • IMG_20201221_090335.jpeg
    51.9 KB · Views: 5
Mnasafirisha kwa kilo au kwa tan
Vipi swala la uaminifu maana kipindi cha nyuma wateja walilizwa Sana, Kuna namna yeyote ya kumlinda mteja?
Vipi maswala ya custom clearance?
 
Mkuu hii tcl 55" jumla na gharama kusafirisha mpaka mwanza ni sh.ngapi?....na je kati ya TCL na HISENSE ipi ni brand nzuri?...hisense ya nchi gani ni nzuri kati ya china na south africa?...hizo hisense zako ni za wapi?
 
kaka naomba nije niwahudumie huduma ya internet ya zuku hapo ofisini kwenu!! ni 69,000 kwa mwezi..ili muwe huru kwa internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…