Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Nipe model ya hii kaka nina maana yangu kuiomba afu nitakujuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe model ya hii kaka nina maana yangu kuiomba afu nitakujuza
Nashida na chogo mkuu price 10000
hatuuz hizo tvNashida na chogo mkuu price 10000
Wapi naweza kupatahatuuz hizo tv
hatuuz hizo tvNashida na chogo mkuu price 10000
Nimehesabu hizi sifuri mara mbili.Wakuu nahitaji Tv ya chogo nch21 nina 10000tsh/= Dar es salaam
Mkuu niache kidogo, haupo seriousWapi naweza kupata
Seriously unahitaji tv ya shilingi elfu kumi?????Wakuu nahitaji Tv ya chogo nch21 nina 10000tsh/= Dar es salaam
Ipo ila kioo kibovu, transfoma za kubadilisha na haina rangi yaan unaangalia black and white na pia haitoi sautiWakuu nahitaji Tv ya chogo nch21 nina 10000tsh/= Dar es salaam
Daaah!!!!!Wakuu nahitaji Tv ya chogo nch21 nina 10000tsh/= Dar es salaam
Nipo serious mkuu 100000tsh/=Daaah!!!!!
Duuh asa siukatupe dampo mkuuIpo ila kioo kibovu, transfoma za kubadilisha na haina rangi yaan unaangalia black and white na pia haitoi sauti
Sent using Jamii Forums mobile app
100000Seriously unahitaji tv ya shilingi elfu kumi?????
Katupe mkuu ila me nipo serious mkuu 100000
Nilikosea kuandika ni 100000Kwa iyo 10k tukupatie remote mkuu.
Nilikosea kuandika mkuu100000Nimehesabu hizi sifuri mara mbili.
Ingia kupatana.