Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Juu uliandika 10k, kumbe ni 100k? Basi andaa usafiri tu tv unapata.Nipo serious mkuu 100000tsh/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juu uliandika 10k, kumbe ni 100k? Basi andaa usafiri tu tv unapata.Nipo serious mkuu 100000tsh/=
Mpya auJuu uliandika 10k, kumbe ni 100k? Basi andaa usafiri tu tv unapata.
Sasa si TV inayoendana na hela uliyowekaKatupe mkuu ila me nipo serious mkuu 100000
Nimesema 100000
Star times, 300000 ina boxWakuu nahitaji tv inch 32 - used nipo Arusha
Mwenye nayo tuwasiliane
Jifunze kuweka mikato kwenye namba hiyo 100k ulitakiwa kuandika hivo 100,000Nimesema 100000
LG LED Smart Tv 42"(FULL HD)Nina 800k.nitapata lg smart ya inches ngap?
Sawa mkuuJifunze kuweka mikato kwenye namba hiyo 100k ulitakiwa kuandika hivo 100,000
hatuna yyte mkuu, labda 65
Sawa. Ni aina ipi na sh ngapi?hatuna yyte mkuu, labda 65
hivi mkuu una page IG kama unayo naomba nipe name yakehatuna yyte mkuu, labda 65
Haioneshi?? Au imechora mistariNauza
HISENSE SMART TV 49INCH MPYA kwenye box imevunjika kioo wakati inashushwa
Ina kila kitu chake
Bei 250k
0654224700View attachment 1750785
hatuna yyte mkuu, labda 65