Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nina 800k.nitapata lg smart ya inches ngap?
LG LED Smart Tv 42"(FULL HD)
Used from uk
2 hdmi port
av port
3 flash port
3D
Ethernet
Wireless LAN
WI-DI Technology
Digital Tuner DVB-T (MPEG4)
SATELITE RECEIVER
Ukiwa na Dish tu no decoder unaona free satelite tv zaidi ya 500+ free ukija kukagua usipoona hizo satelite tv 500+ usilipe
Ukiweka antena ya kawaida local tv pia free
Remote


0654224700
View attachment 1750771View attachment 1750770
 
LG LED Smart Tv 42"(FULL HD)
Used from uk
2 hdmi port
av port
3 flash port
3D
Ethernet
Wireless LAN
WI-DI Technology
Digital Tuner DVB-T (MPEG4)
SATELITE RECEIVER
Ukiwa na Dish tu no decoder unaona free satelite tv zaidi ya 500+ free ukija kukagua usipoona hizo satelite tv 500+ usilipe
Ukiweka antena ya kawaida local tv pia free
Remote


0654224700
 
Nauza
HISENSE SMART TV 49INCH MPYA kwenye box imevunjika kioo wakati inashushwa
Ina kila kitu chake

Bei 250k
0654224700
 
Wakuu nnahitaji smart TV (Star X)...full hd....inch32-40 (itakayopatikana)


ZINGATIA UAMINIFU
 
LG LED Smart Tv 42"(FULL HD)
Used from uk
2 hdmi port
av port
3 flash port
3D
Ethernet
Wireless LAN
WI-DI Technology
Digital Tuner DVB-T (MPEG4)
SATELITE RECEIVER
Ukiwa na Dish tu no decoder ya aina yoyote unaona free satelite tv zaidi ya 500+ free ukija kukagua usipoona hizo satelite tv 500+ usilipe
Ukiweka antena no decoder local tv pia free
Remote

Price 700k
0654224700
Location kimara
 
Samahani wakuu, TV yangu Samsung LED TV 32" imeungua card. Naweza ipata duka gani hapa mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…