Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

LG LED TV 43INCH ORIGINAL
NYEMBAMBA
LOCAL CHANNEL FREE
NATAKA 550,000
LOCATION KIMARA-SUKA
0654224700
 
Nahitaji smart TV Used inchi 32 " weka bei na picha. Then nitag
 
hatuna yyte mkuu, labda 65
Mkuu niaje unaweza nichekia kuanzia inch 43 - inch 50 TV ambayo sio smart.. brand pamoja na bei... + usafirshaji mpaka DAR.. nahitaji kwa ajili ya kuonyeshea mpira.. so ata ikiwa FHD au HD pia fresh
 
Bajeti 800,000 nataka Hisense uwe serious kubwa lkn Call 0762027102
 
Mkuu niaje unaweza nichekia kuanzia inch 43 - inch 50 TV ambayo sio smart.. brand pamoja na bei... + usafirshaji mpaka DAR.. nahitaji kwa ajili ya kuonyeshea mpira.. so ata ikiwa FHD au HD pia fresh
star x 43" 630000
lg 43 800000
 
FAST DEAL
TCL SMART TV 55 INCH
IPO KATIKA HALI NZURI SANA
INATAKIWA 950K

LOCATION MAGOMENI KAGERA

065-422-4700
 
FUNDI FLAT TV DAR
Kama flat tv yako ina changamoto imeharibika au haifanyi kazi (mbovu)
Karibu tukumalizie tatizo lako mara moja
Tatizo lolote la tv tunasolve..
Ofisi ipo ilala karume.
NB: KWA WALIOVUNJIKIWA VIOO VIMEKUA ADIM SANA.. NA CHANGAMOTO NI BEI..
Pia nanunua tv mbovu zilizoshindikana kama spea
Call/WhatsApp 0713799522
 
Jamani naweza kupata Tv ya kichogo humu?
Dau langu ni Tsh elfu kumi tu.(10,000/=)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…