Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

hapo mkuu nakushauri nunua TV nyengn, hayo mambo ya kuagiza kioo utasumbuka na kupoteza hela tu, kwanza ni expensive, gharama unaongeza hela kidogo tu unapata TV nyengn mpya kama hiyo
Asante kwa ushauri.
Akipatikana mnunuzi, tuchekiane!
 
Hisense inch 65.. Ilitumika chini ya siku 30 toka inunuliwe, dogo akaigonga!! Ikiwa off huoni cracks.. Ukiswitch on ndo vurugu tupu.. Picha imekatikakatika..
Niliambiwa kutengeneza yake ni kuagiza kioo nje na bei yake imesimama..
Niliirudisha ndani ya box toka December 2019. Sijaitoa na sijui ipo na hali gani.
Leo nimekutana na huu uzi; msaada wa mawazo tafadhali.
1. Ni kweli kioo hadi kuagiza nje?
2. Nikijipinda kuagiza kioo, itarudi kawaida?
3. Naweza ku offload kwa hasara? Nusu hasara kuliko hasara kamili

Shukrani
Nikitaka uniuzie ivyo ilivyo je ni kiasi gani
 
TCL 42" naiuza kwa lak 4 sio smart ni LED TV ya kawaida. Tv imetumika miezi 6 tu. Mawasiliano 0677308324 au 0621523916
20210618_124027.jpg
20210618_124025.jpg
 
hapo mkuu nakushauri nunua TV nyengn, hayo mambo ya kuagiza kioo utasumbuka na kupoteza hela tu, kwanza ni expensive, gharama unaongeza hela kidogo tu unapata TV nyengn mpya kama hiyo
Mimi nina TCL 4K UHD Smart LED,
Nayo sikukaa nayo sana kama wiki 2 au 3 hivi alienifungia kwa ukuta hakuiweka vizuri ikadondoka Kioo kikapiga mzinga. Nawaza hapa sijui hata niifanyaje.

1624377862905.png

Ukiiwasha inaonyesha kama hivi hapa chini, nusu ya juu na kulia hakuna kitu,
1624377899259.png
 
Back
Top Bottom