copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,362
Asante kwa ushauri.hapo mkuu nakushauri nunua TV nyengn, hayo mambo ya kuagiza kioo utasumbuka na kupoteza hela tu, kwanza ni expensive, gharama unaongeza hela kidogo tu unapata TV nyengn mpya kama hiyo
Akipatikana mnunuzi, tuchekiane!