Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

hapo mkuu nakushauri nunua TV nyengn, hayo mambo ya kuagiza kioo utasumbuka na kupoteza hela tu, kwanza ni expensive, gharama unaongeza hela kidogo tu unapata TV nyengn mpya kama hiyo
Asante kwa ushauri.
Akipatikana mnunuzi, tuchekiane!
 
Nikitaka uniuzie ivyo ilivyo je ni kiasi gani
 
TCL 42" naiuza kwa lak 4 sio smart ni LED TV ya kawaida. Tv imetumika miezi 6 tu. Mawasiliano 0677308324 au 0621523916
 
hapo mkuu nakushauri nunua TV nyengn, hayo mambo ya kuagiza kioo utasumbuka na kupoteza hela tu, kwanza ni expensive, gharama unaongeza hela kidogo tu unapata TV nyengn mpya kama hiyo
Mimi nina TCL 4K UHD Smart LED,
Nayo sikukaa nayo sana kama wiki 2 au 3 hivi alienifungia kwa ukuta hakuiweka vizuri ikadondoka Kioo kikapiga mzinga. Nawaza hapa sijui hata niifanyaje.

Ukiiwasha inaonyesha kama hivi hapa chini, nusu ya juu na kulia hakuna kitu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…