Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nahitaji deki isiyochagua cd na inayotumia flash,
bajeti ni 25,000/=.

IWE DAR.
 
Nahitaji lcd used yoyote ile iwe tcl,singsung,sony,lg,sumsung, nk iwe inchi 22 na kuendelea nna laki 2 pia nataka king'amuzi nna elfu 20.
 
Naulizia bei ya flat screen led inch 21 dukani
 
Nahitaji TV Iwe ndogo au kubwa either chogo etc bajeti yangu 40,000 hadi 50,000. Niko Dar 0713196055
 
Naomba no yako tuwasiliane ktk watsup ka bado unayo iyo Tv
 
Inahitajika tv flat kuanzia inchi 18 hadi 21,
isiyokuwa na tatizo lolote.
Bajeti ni 170,000/=

0717002989
dar
 
Back
Top Bottom