Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

LG 42" LCD used for sale
1446906954331.jpg
 
nahitaji samsung LED inchi 32 kwa bajeti ya 500K
 
Nina TV yangu Philips nahitaji laki 350000 tu nipo Dar es salaam kama una mtu Dar mwambie aje aione ajirizishe TV iko poa kabisa rangi ni Silva inch 32. Karibu sana
mkuu picha haionekani vyema,haina historia ya ubovu?uko dar eneo gani?
 
Mwenye samsung inch 32 mpya katika box,, ani pm namba zake fasta bajet yangu n laki 5,
 
Nataka tv chogo niko dar mwenye nayo anipm
 
Sony Bravia 32" LCD KDL32BX350 (USED),bei 450,000/= + original packaging, DSM 0768307374
 
Back
Top Bottom