Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Una models gani za 75 au 85 inches

Na unaweza niagizia hiyo series 6?
kuhusu kukuagizishia nadhani ungenitumia model no pia ikawa rahis zaid
namba yng ni 0777650286 unaweza kunichek kwa urahis zaid
 

Kwangu mie Nairobi n karibu kuliko dar pia pale boda nimeshasoma mchezo natakiwa kuwapa ngap Tra hvyo nikijumlisha naona bado Kuna unafuu lingine pia huwa na inshu inshu za kununua vitu Nairobi.

Najipanga ligi pendwa ianze nitulie vizuri na screen kubwa MUNGU akiweka mkono hata 75inch naivuta.

Jamaa wa zenji naona Kama huwa n used au mpya zile?
 
Zote anazo,
mpya na used. USHINDWE WEWE TU
 
Sony soundbar watts 650
Big sound with high quality
Soundbar 5.1ch
650,000
0713799522
Free delivery + installation
 
Hii ni samsung plasma tv ya mtumba inch 43 nauza 480,000
Ina USB na HDMI
 
MTU mwenye remote ya TCL ROKU TV, SMART AJE INBOX Mara moja tubonge biashara...inch 32...
 
Mkuu unaweza kufikisha na Mwanza?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…