Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Utakutana na kadhia za Boda hapo mpakani,
TRA watakunyoosha ushuru utaona Bora ungenunua huku huku dar au Zanzibar.

Unafuu wa Nairobi,
Uko kwenye biashara ya Simu,spea zake na vitu vidogo vidogo vya kubebeka Kwenye begi.
Ila hivi vikubwa vya kuonekana Kama TV, utakadiriwa USHURU utachoka mwenyewe.

Nmefanya Sana biashara za Nairobi-Dar, kwaiyo nakushauri nilicho nauzoefu nacho mkuu.

Kwangu mie Nairobi n karibu kuliko dar pia pale boda nimeshasoma mchezo natakiwa kuwapa ngap Tra hvyo nikijumlisha naona bado Kuna unafuu lingine pia huwa na inshu inshu za kununua vitu Nairobi.

Najipanga ligi pendwa ianze nitulie vizuri na screen kubwa MUNGU akiweka mkono hata 75inch naivuta.

Jamaa wa zenji naona Kama huwa n used au mpya zile?
 
Zote anazo,
mpya na used. USHINDWE WEWE TU
 
Sony soundbar watts 650
Big sound with high quality
Soundbar 5.1ch
650,000
0713799522
Free delivery + installation
IMG_20210707_161245_6.jpg
Screenshot_20210708-012855.jpg
IMG_20210707_161238_0.jpg
 
Hii ni samsung plasma tv ya mtumba inch 43 nauza 480,000
Ina USB na HDMI
IMG_20210626_113125_2.jpg
IMG_20210626_112952_9.jpg
 
MTU mwenye remote ya TCL ROKU TV, SMART AJE INBOX Mara moja tubonge biashara...inch 32...
 
Ndio mana na hao wa mikoani nikatahadharisha, anaetaka awe mkweli, asitujaribu, sio ushatuma mzigo ishafika sehem husika unamuambia nenda kalipie uchukue mzigo wako, anaanza blah blah
Mara nimetokea na msiba, sijui mambo yameenda vile sijui hivi, alimradi kashakusumbua na hakua na uhitaji wwte

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kufikisha na Mwanza?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom