Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Tv iliyochora mstari kuna namba ya kuufuta?
 
Aborde inch 22 double glass used for I month na flash ya gb 8 kwa 170

+255712586252
 
Hisence inchi 55 zimerudi tena baada ya kupotea kwa muda mrefu tupigie 0744551655 kuweka oda yako sasa kwa bei ya 1,350,000tsh

[emoji573] usafiri bure
[emoji573]hdmi bure
[emoji573]wall bracket bure.

Hii si ya kukosa aiseeh [emoji2][emoji2]


 
Naweza kupata TV inchi 32 nikiwa na budget ya 400,000/=? Nilikuwa na Star X. Imepasuka kioo sitaki kuhangaika kutengeneza.
uko wapi kaka ... njoo nikuuzie smart Hisense inch 32 nicheki 0715 194 611
 
Nahitaji inch 65 Brand yoyote ile

natoa inch 32 mbili

1.Hisence
2.TCL SMART

anaekubali tubadilishane kwa hivi anicheki PM 2 KWA 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…