Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

SAMSUNG HOME THEATRE
WATTS 1000
INA USB, HDMI, DVD PLAYER
OPTICAL, AUX, FM RADIO
450,000.
0744680670
IMG_20220115_002252_109.jpg
IMG_20220115_002252_286.jpg
IMG_20220115_002252_406.jpg
 
SAMSUNG SMART TV
50 INCHES
FULL HD
CLEAN CONDITION
USB, HDMI,
SCREEN MIRROR
900,000
0744680670
IMG_20220115_020542_274.jpg
IMG_20220115_020542_325.jpg
Polish_20220115_015835183.jpg
 
FUNDI TV DAR
KWA MATATIZO YOTE YA FLAT TV NICHEK TUMALIZE TATIZO
PIA NANUNUA TV ZILIZOSHINDIKANA NA ZILIZOPASUKA VIOO NANUNUA KAMA SPEA
Inch 32 kwa 30,000
Inch 42 kwa 50,000
Inch 50 kwa 70,000
Inch 55 kwa 100,000
Kama unayo nichek
0744680670
Polish_20220115_025001569.jpg
 
Nahitaji inch 65 Brand yoyote ile

natoa inch 32 mbili

1.Hisence
2.TCL SMART

anaekubali tubadilishane kwa hivi anicheki PM 2 KWA 1
Hio inch 65 tu bei yake ya chini 1.8m inategemea nawew hizo 32 ukiuza zote hupati zaidi ya 600k Hamna mtu anayeweza kufanya hio biashara ya pimbi never
 
Hizi TV kampuni za Star X, TCL, n.k kuna sehemu hapa Dsm wanauza used bei rahisi sana.

Kama hizi za inchi 32, haizidi Tsh. 250,000

Zile za inchi 40-45, hazizidi Tsh. 350,000

Lakini zikishakuja mitandaoni tu, naona zote zinabadilika.
Tuelekeze pahala chimbo lilipo.
 
wakuu wauzaji wa tv nina uhitaji wa tv kwa matumizi ya chumbani naombeni ushauri na mniuzie pia je ni tv ipi nzuri kati ya smart au led na brand napenda hisence kutokana na bei zao nazimudu na kingine kwa chumba cha kulala ukubwa gani ni sahihi asanteni.
 
Back
Top Bottom