Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Unaweza nisaidia namna ya kutumia hiyo built in decorder maaana mi View attachment 2131513ninanyo hii.View attachment 2131515
Haina ugumu, kama una ANTENNA ya kawaida wewe unga kwenye tundu la antenna , na kama upo Dar, frequency za kupata FREE CHANNELS NII 474, 490, 546.

KWENYE TV YAKO INGIA KWENYE MENU TAFUTA BROADICAST, HAPO UTACHAGUA KAMA UFANYE MANUAL AU AUTO.

HATA HIVYO , WAKATI WA UNAPOTUMIA TV YAKO KWA MARA YA KWANZA KABISA, UNASET KILA KITU NA YENYEWE INASEARCH HIZO CHANEL AUTOMATICALLY, KAMA YAYARI UMEUNGA WAYA WA ANTENNA , NA UMECHANGUA TERRESTRIAL DIGITAL...
 
Kama tv YAKO ina njia ya kuingiza CAMCARD, unaweza kununua camcard ya Azam ukaichomeka ,huku ukiwa una ANTENNA unasearch chanels za AZAM za kulipia unatumia tu bila kutumia kisimbuzi cha Azam.
 
Kama tv YAKO ina njia ya kuingiza CAMCARD, unaweza kununua camcard ya Azam ukaichomeka ,huku ukiwa una ANTENNA unasearch chanels za AZAM za kulipia unatumia tu bila kutumia kisimbuzi cha Azam.
Naomba kuelekezwa namna ya kupata au kuitambua tv yenye feature ya cam card,je hii ni moja ya feature currently au ni outdated
 
Naomba kuelekezwa namna ya kupata au kuitambua tv yenye feature ya cam card,je hii ni moja ya feature currently au ni outdated
TV zenye uwezo huo , utakuta kuna slot imeandikwa CI. Models nyingi za nyuma za LG zilikuwa na hii slot...
Sijuhi za siku hizi za miaka mitatu iliyopita hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…