Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Abdulwahid nimemkubal sana huyu jamaa hongera sana bro endeleza uaminifu na ukwel kwa sisi wateja wako.wana jfroum fanyen biashara na huyu abdu mzigo unaupata no longo longo ,,haraka na mapema unapata mzigo ukiagiza
Shukran mkuu kwa kutuamini na wewe, bila ya kuniamini nisingeweza, asanteni sana
 
Abdul leta vunja bei msimu wa sikukuu
Ofa tulionayo ni samsung led 50" kwa 1200000 badala ya 1400000
1482137142968.jpg
 
Abdulwahid nimemkubal sana huyu jamaa hongera sana bro endeleza uaminifu na ukwel kwa sisi wateja wako.wana jfroum fanyen biashara na huyu abdu mzigo unaupata no longo longo ,,haraka na mapema unapata mzigo ukiagiza
Jamaa yupo vizuri sana hasa kwenye issue ya mawasiliano na mteja. Wiki iliyopita nilichukua TV toka kwake.
 
@Abdulwahidi yupo vizuri kwenye biashara zake....ni mwaminifu na anajali wateja wake....Nimeshafanya naye biashara.
 
Asanteni, na nawashukuru sana na nyinyi kwa kutuamini, maana biashara hizi za mitandao zinakua pasua kichwa, hujui nani mkweli nani tapeli ila nashukuru kwa kwa nyinyi kuniamini na tukafanikisha biashara, Mungu awabariki sana

Back
Top Bottom