Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hio star x ulianza kuiuza 320,000 huko zanzibar kuileta dar ikawa 350,000 hio ilikua novemba sasa hivi february mbona imefika 380,000 ? kodi gani imeongezekanhapo bandarini ndani ya miezi miezi 3?...
Miezi 3 iliopita ilikua tv 32" hailipiwi tra pale bandarini, tulikua tunalipia kwenye boti 15000, offage nao 5000, na baharia tunaemkabizi 5000, sasa tv 32" TRA peke yao wanaicharge 50000 jumlisha na izo gharama nyengine apo juu jumlisha na hiyo 320000 ya tv, isitoshe hizi tv uko kwao kwa sasa zimepanda bei, bado njoo uangalie na rate ya dola kwa sasa linganisha na iyo miezi 3 uliosema dola ilikuaje, mpaka hapo nadhani utakua umepata majibu, asante na karibu sana
 
ngoja njichange nami nije kuchukua television tanashat
 
Mkuu Abdulwahid Samsung tv 32" LED nipo Dar nikiwa na Tsh 400,000 naweza kuipata.??
Natanguliza shukrani
 
Pia mkuu naomba unieleweshe tofauti ya smart tv,led tv na curved uhd tv
Natanguliza shukrani
 
cbe8de77e872406b504863afb51ed2fb.jpg
abdccba30ef2930d6e4c0e748a692738.jpg
ba5e310e3265f94ad88126210d51859f.jpg
d8e27c1f93c4f9e908cfa0e9cd2c6d31.jpg
Hii bei yake inaendaje mkuu?
 
Nauza flat screen
Black stone
Size 32
Inasehemu za kuweka flash
HDMI pia inasapoti
Inaonesha clear kabsa
Bei 380k
No: 0745499610
d2b8026383a2c8146a17319bf1d258d3.jpg
84ff6beffb43cf96274cf3f4c4a1dd1d.jpg
 
Hio star x ulianza kuiuza 320,000 huko zanzibar kuileta dar ikawa 350,000 hio ilikua novemba sasa hivi february mbona imefika 380,000 ? kodi gani imeongezekanhapo bandarini ndani ya miezi miezi 3?...
Tunatakiwa tukuuzie bei kubwa zaidi ya hiyo mkuu sema tunafanya kusaidiana tu, vinginevo ni bora mtu aje ofcn unaweza kumpiga sound ukamuuzia ata 350000, ukaepukana na hizi gharama nyengine, kuliko wateja wa mitandaoni
Miezi 3 iliopita ilikua tv 32" hailipiwi tra pale bandarini, tulikua tunalipia kwenye boti 15000, offage nao 5000, na baharia tunaemkabizi 5000, sasa tv 32" TRA peke yao wanaicharge 50000 jumlisha na izo gharama nyengine apo juu jumlisha na hiyo 320000 ya tv, isitoshe hizi tv uko kwao kwa sasa zimepanda bei, bado njoo uangalie na rate ya dola kwa sasa linganisha na iyo miezi 3 uliosema dola ilikuaje, mpaka hapo nadhani utakua umepata majibu, asante na karibu sana
 
Sorry mkuu naomba specification ya Samsung smart/led inch 32" tlc smart/led inch 32" na star x smart/led inch 32 pamoja na bei zake mpaka Dar
 
Mwenye uhitaji Wa desktop monitor inch 19 dell, speaker zake 2, na keyboard znauzwa 90,000 kwa zote
 
Ni bei ya kununua huku, kama utakuja huku au utamuagiza mtu ntakuuzia kwa hiyo bei, sio pamoja na usafiri
Sawa mkuu maana hiyo nauli yenyewe kuja huko na kurudi ni 50 elf tayari then bado usumbufu hapa dar wa hawa ma custom officers ni bora kuichukulia hapa hapa dar.Naomba unijibu hii issue hapa.
Specification ya Samsung smart/led inch 32" tlc smart/led inch 32" na star x smart/led inch 32 pamoja na bei zake mpaka Dar.
 
Ndo mana nikakuambia ukitaka tukuletee huko ni 500000, hapo ni pamaja na kodi na kila kitu, wewe unakabidhiwa tu tv yako kwa hiyo 500000, au kama apo kariakoo unapata samsung led mpya kwa 500000, ya nini usumbuke? Chukua tu huko mkuu
 
Back
Top Bottom