Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Vipi ubora wa TV za Boss ukoje?
Na unazo hapo kwako kama unazo unauzaje inch 32 ya kawaida na 32 ambayo ni Boss smart TV?
Mkuu sijui chochote kuhusu hiyo brand maana huku sijawahi kuiona hata kwenye maduka ya jirani so siwezi kuongelea chochote kuhusu hizo
 
Sumsung 43",50" bei ikoje
Lg 43 ,50+ bie piA ziwe smart tafadhali sana
 
Si maeneo yote ya nchi nafanya hivo, hayo ni kwa maeneo ambayo tuna wawakilishi wetu tu, ambayo ni dar, tanga, arusha na moshi kilimanjaro, sehem nyengine ambazo hatuna wawakilishi utalipia kwanza ndo tutakutumia mzigo wako, natanguliza shukrani
Hiyo star x 50 shingap?
 
4dc1c4f4e13caefd6e456100eef6d798.jpg
Lg hometheatre
Price 450000
 
Back
Top Bottom