Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Miezi 3 iliopita ilikua tv 32" hailipiwi tra pale bandarini, tulikua tunalipia kwenye boti 15000, offage nao 5000, na baharia tunaemkabizi 5000, sasa tv 32" TRA peke yao wanaicharge 50000 jumlisha na izo gharama nyengine apo juu jumlisha na hiyo 320000 ya tv, isitoshe hizi tv uko kwao kwa sasa zimepanda bei, bado njoo uangalie na rate ya dola kwa sasa linganisha na iyo miezi 3 uliosema dola ilikuaje, mpaka hapo nadhani utakua umepata majibu, asante na karibu sana
Kioo tupu star x inch 32 naweza pata,na kwa sh ngapi
 
Star x smart 50" tunauza 850000
Star x led 55" tunauza 1000000
Tcl smart 50" tunauza 1000000
naweza ipata star x 50 inches jumamosi nakaa temeke......kama una muwakilishi dar niende kuchukua mzigo kwake...nimpe na cash
 
47e34c1383da0d6824a2b0d095c655aa.jpg
a77989375daa5b867d0a49294dfbab34.jpg
price 1.2m
 
Nahitaji bracket /wall mount 10 kwa ajili ya TV, zile zenye uwezo wa kuweka kofuli, kwa tv ya inch 25, mwenye nazo bei ya jumla ani inbox
 
Mjomba wahid hamuwez kufanya na biashara za tv za sony? Hasa zle zenye 4k resolution?
 
Back
Top Bottom