Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Miezi 3 iliopita ilikua tv 32" hailipiwi tra pale bandarini, tulikua tunalipia kwenye boti 15000, offage nao 5000, na baharia tunaemkabizi 5000, sasa tv 32" TRA peke yao wanaicharge 50000 jumlisha na izo gharama nyengine apo juu jumlisha na hiyo 320000 ya tv, isitoshe hizi tv uko kwao kwa sasa zimepanda bei, bado njoo uangalie na rate ya dola kwa sasa linganisha na iyo miezi 3 uliosema dola ilikuaje, mpaka hapo nadhani utakua umepata majibu, asante na karibu sanaHio star x ulianza kuiuza 320,000 huko zanzibar kuileta dar ikawa 350,000 hio ilikua novemba sasa hivi february mbona imefika 380,000 ? kodi gani imeongezekanhapo bandarini ndani ya miezi miezi 3?...