Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nina Samsung inch 32 LED ila imepasuka kiyoo ni cha kurudishia kwa anayehtaji anipe 200000
 
Nalifahamu hilo mkuu sema nahisi tukifungua huko bei inaweza kulingana tu na hao wa hapo kwa sababu ya makodi mengi na makubwa pia
Ila kweli Mkuu lakini najua biashara ni matangazo na jinsi vile ulivyoweza kujibrand hapa jf hata ukipata frem/store Temeke ya bei rahisi watu watakufuata achana na K/Koo kwani gharama ni kubwa japo ni centre mubashara ya biashara
 
Shukran tutaufanyia kazi ushauri wako mkuu
 
Pata TVs na DvD Yake bei poa Kabisa tsh 110,000 tuu Wasiliana Nasi #0672279198 ipo katika Ubora Wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…