Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hivi naomba kujua utofaut wa smart tv na led katka flat screen
Mkuu tofauti ni kwamba smart źiko more advanced zinakupa acsess ya internet ambapo itakuwezesha kuperuzi mitandao mbalimbali, led ni tv tu hiwezi kufanya hayo
 
nauza star x led 32 inch bado mpya .. imetumika mwez mmoja tu.. kila kitu chake kipo hadi box..

bei 400,000

sababu ya kuuza naongeza nguvu kumalizia kibanda changu
Sasa imetumika mwenz mmoja utasemaje bado mpya?
Hiyo tayari ni used
 
Ivi TV za chogo bado zipo wadau..ninayo hapa mwaka wa 12 inadunda.nilinunua izo za smart pale game zimeungua na kuharibika mpk nimerudi kwa chogo yangu.
 
Mkuu tofauti ni kwamba smart źiko more advanced zinakupa acsess ya internet ambapo itakuwezesha kuperuzi mitandao mbalimbali, led ni tv tu hiwezi kufanya hayo
Ahsante mkuu na ung'aavu ipi ina pcha nzuri sana
 
Curved shi ngapi ?
Mnafunga duka saa ngapi, naweza kupita jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…