Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nahtaj TV ya chogo ya mtumba inch 21 or 24 nipo mkuranga pwani 0679921501
 
Mimi nahitaji TV flat screen. Nina laki 2.5. Iwe inatumia AC na DC. Mwenye nayo aniambie ni inch ngapi. Tar 30 nitakuwa dar kuichua. Very serious.
 
Mimi nahitaji TV flat screen. Nina laki 2.5. Iwe inatumia AC na DC. Mwenye nayo aniambie ni inch ngapi. Tar 30 nitakuwa dar kuichua. Very serious.
ninayo flat screen star x 24" brand new na warranty unapata nauza 255k ongeza elfu tano nikuekee ila inatumia 220v
 
Nahtaj TV ya chogo ya mtumba inch 21 or 24 nipo mkuranga pwani 0679921501
mkuu tv ya chogo zinaconsume umeme mwingi,
njoo nikuuzie flat screen star x inchi 24 brand new na warranty unapata kwa 255,000 tu.Tv hizi za LED zinatumia umeme mdogo sana hata kama umeme wa tanesco utapungua nguvu hii itawaka.
 
Duh mkuu pole sana, kama ungekuepo zanzibar ningekuambia ilete dukan, bei ni nzuri tu hiyo, hata hivo akitokezea mtu anataka 55" naweza kukuunganisha nae maana sisi hatuna hizo kwa sasa
Unaweza kuni pm no yako, na sijui kwanini tu kwa hiyo bei nilitegemea uwe kushaiuza hapa jukwaani
 
Nina matatizo ndio maana naiuza bei ya kutupa. unajua matatizo ni sawa na udhalili!
OK nakufata pm.
 
wakuu ...pesa mfuko wa shati ,nataka smart tv,nina laki tatu(300000)mwenye nayo aje chapu tufanye biashara
 
Mimi ninayo samsung fhd led inch 44. Ni mpya imevunjika kioo kwa fundi yoyote anicheck pm tupatane.
 
Mbona toka Uzi uanze 2015 sioni mrejesho nani ameweza kuuza au kununua?? Leteni mirejesho muwatie moyo wengine
 
Mbona toka Uzi uanze 2015 sioni mrejesho nani ameweza kuuza au kununua?? Leteni mirejesho muwatie moyo wengine
Pitia coment za nyuma apo utaona mirejesho kibao, hata hivo sio wote wanao nunua huja hapa na kuleta mrejesho, wengi wao wanaamua kubaki kimya, lakini binafsi nawashukuru wanajamii forum, nimefanya biashara na wengi sana humu, japo nimekutana na changamoto pia.
So ondoa shaka bwana mdogo, kama kuna tv au hometheatre wewe sema tu utapatiwa kwa bei nafuu kabisa
 
Naomba kujua unapoambiwa kuwa tv ni digital tv kuwa inaweza kushika chanel bila kuweka king'amuzi hapo inakuwaje hapo!?
 
Nauza Samsung LED TV used 37" kwa 560K tu.
Iko good condition.
0715677739
 
Naomba kujua unapoambiwa kuwa tv ni digital tv kuwa inaweza kushika chanel bila kuweka king'amuzi hapo inakuwaje hapo!?
Mimi ninazo TV aina ya Star X,Zina king'amuzi ndani take,unaseti tu kwa antenna au satellite dish then unapata channel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…