Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Samsung Home theatre ya watt1000 unauza bei gan had arusha?
 
mkuu za majukumu, naomba kufahamu ghrama ya star x 32 inch kwa dar je bado ni Tsh.380,000 na vipi bei ya TCL 32 inch
 


Wakuu nahitaji Soround speaker za sony kama hizi hapa mwenye nazo tafadhali tufanye biashara. Pia abduli kama unaweza nisaidia najua kwa zanzibar hizo vitu ni rahisi kupatikana.
 
mkuu abdull wahid vipi hapo dukani kwako hapo znz zipo smart tv inch 32 au 40 ? na bei zake zina semaje? asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…