Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
25" 300000Flat screen ya chini kabisa ni inch ngapi na tsh ngapi?
dar tunakutumia unaenda kuichukua ofcn flan hapo msimbazi kariakoo baada ya kufanya malipo hapo..... bei ni 500000 hizo unazouliziaAbduwahid kwa dar mnapatikana wapi na inchi 32 ya samsung au lg bei gani kwa sasa
hahaha mkuu kwa hiyo bajeti labda nchi 14 tena ununue mkononi kwa mtu sio dukaniinamaana hamna humu ndani
mkuu tanga hatuna ofc ila tutakuekeza ofc fln hapo barabara ya 8 utafanya malipo then tunakurumia tv yako......Mkuu hao wawakilishi wenu wa Tanga wapo maeneo gani? au mawasiliano yao? Pia kwa Tanga zinapatikana kwa bei sawa na Zanzibar ama?
Are you serious?Haya jamani Boss flattv LED 50 inches, na Boss fridge kubwa + Dstv king'amuzi.. vyote vimetumika miezi mitatu tu! YaanI almost ni vipya tu! Na remote zake! Picha zitakuja baadae nikifika home!
Bei ya jumla kwa vyote ni 1.4mil ila maongezi yapo!
Vipo mbezi Africana!
0692321070
Mimi nahitaji Home theater Sony watt 1000 kama unaweza leta hiyo sema beiWakuu nina import TV mpya kutoka Dubai na ningependa maoni yenu kwenye bei:
Daytek 32 inches Led laki 450
Yihai inch 32 LED laki 430
Samsung Plasma 51 inches 1.3m
Samsung 51 inches LED 1.8m
Samsung 60 inches plasma 2.7m
Je hizi bei mnazionaje
Je smart Tv inaweza kupatikana?Wakuu nina import TV mpya kutoka Dubai na ningependa maoni yenu kwenye bei:
Daytek 32 inches Led laki 450
Yihai inch 32 LED laki 430
Samsung Plasma 51 inches 1.3m
Samsung 51 inches LED 1.8m
Samsung 60 inches plasma 2.7m
Je hizi bei mnazionaje
Ungekua unataja na model zake ingekua poa sana,Wakuu nina import TV mpya kutoka Dubai na ningependa maoni yenu kwenye bei:
Daytek 32 inches Led laki 450
Yihai inch 32 LED laki 430
Samsung Plasma 51 inches 1.3m
Samsung 51 inches LED 1.8m
Samsung 60 inches plasma 2.7m
Je hizi bei mnazionaje
Kama mieMh! Nna laki na nusu nahtaji flat Tv
43 inch, kwanza niambie smart tv kwanzia inch 32 hadi inch 43 unaleta kwa bei zipiYap zipo..inch ngap