Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Flat screen 21" au 20" laki moja. Kama unayo ni pm nakucash leo leo
 
Nina 500,000/= Tsh nahitaji Flat Tv Samsung au LG kuanzia 40'' + either used or brand new. Nasomeka Geita town kwa mwenye nayo tuwasiliane kwa namba hii 0682 338065
 
Wakuu nina import TV mpya kutoka Dubai na ningependa maoni yenu kwenye bei:
Daytek 32 inches Led laki 450
Yihai inch 32 LED laki 430
Samsung Plasma 51 inches 1.3m
Samsung 51 inches LED 1.8m
Samsung 60 inches plasma 2.7m
Je hizi bei mnazionaje

Mkuu nipe bei za curve 55inch 2015 na 2016 model
 
nauza logik TV inch 19 ina DVD room HDMI na VGA port pia ina iPod dock bei 230k ni mtumba kutoka nje ipo vizuri sana nicheki 0718097972
 
Skywork 18'' With Dvd player inauzwa 300000/- kama unahitaji pm.
 
Back
Top Bottom