Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Tv zetu zote ni mpya na zina waranty, pia tunasafirisha kwa waliopo dar, tanga na arusha. Kwa mawasiliana 0718919725 & 0777650286 tupo Mtendeni Zanzibar. Karibuni
 
1468864652711.jpg
 
Ambae bado anahitaji chogo inch 21, ipo hapa moja iliyo ktk hali bora sana na remote yake safi bei 120,000/= SONY - Mwenge Dar
 
Toleo la kisasa original kutoka Marekani Samsung Curved smart TV 50 inches mmpya shillingi million 15 cash Niko Dar .
 
Natafuta sony bravia tv flat screen yenye built in wi fi. Inch 32 kwa dar. Iwe mpya
 
Back
Top Bottom