HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Mkuu nataka kununua tv kutoka kwenu ila mimi nipo dar je gharama za kuleta mpaka dar itakuwa juu yangu au wewe na ni kiasi gani, nilihitaji hiyo star x inch 40Tv zetu zote ni mpya na zina waranty, pia tunasafirisha kwa waliopo dar, tanga na arusha. Kwa mawasiliana 0718919725 & 0777650286 tupo Mtendeni Zanzibar. Karibuni