hopaje
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 1,726
- 1,218
Phillips inch 21ipo dar ila remote yake imezingua inataka 80000 mwenye kuitaka 0652399916
Philps bado ipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Phillips inch 21ipo dar ila remote yake imezingua inataka 80000 mwenye kuitaka 0652399916
Home theatre bei gani, na ni watt ngapi?
shukrani mkuu!,Je ni maduka gani naweza kupata?150000
Kwa Dar nitaipata kwa sh ngapi? Itachukua muda gani? pls PM meView attachment 370763View attachment 370764View attachment 370765
Lg led 32"
Model: 32LF550D
Price: 480000
Nianyo sony bravia nchi 42 imekufa mkanda( T-con)kama nimeabdika sahihi naiuza kama spare yote ipo kwenye box lakeNatafuta Motherboard ya TV LED LG 42" mwenye nayo please yangu imebuma.
Mimi ninayo nchi 42 pia nahitaji kioo au nauza kama ilivyo ni mpya SONY BRAVIANaitaji kioo cha TV Sony bravia LED nchi 32
55" mkuu sina ila hata kama ningekua nayo kwa bajeti hiyo mkuu ngumu. Maana hapa nnazo 50" za samsung nauza 1.7m
mkuu unaeza weka picha ya hiyo star x? je tcl 50' naweza pata kwa ngapi?Mkuu star x 50" 950000 usafir juu yetu
Tcl 50" ni 1m picha ya star x ntakutumiamkuu unaeza weka picha ya hiyo star x? je tcl 50' naweza pata kwa ngapi?
Hii tcl 50" ni mpya? Kama ndio warrant yake ni ya muda gani?Tcl 50" ni 1m picha ya star x ntakutumia
Mkuu ni mpya, sisi hatudil na tv za used, warranty ni 1 yearHii tcl 50" ni mpya? Kama ndio warrant yake ni ya muda gani?
Asante, hauna tcl iliyozidi 50". Kama ipo bei gani?Mkuu ni mpya, sisi hatudil na tv za used, warranty ni 1 year
Sina mkuuAsante, hauna tcl iliyozidi 50". Kama ipo bei gani?
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mpya au used mkuu wangu.mkuu nilikosea hapo juu samahani samsung mpya hakuna 42, kuna 40 na 43,......40" 800000, .... 43" ni 900000.......lg zipo 42" ni 850000 na 43" ni 900000
Samsung plasma 43 inches used ila bado iko poaa.. 750,000.. ni mali yangu nauza.. 0713 799 522