Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

1469959403763.jpg

Star x led 50"
Price: 950000
 
Haya jamani Boss flattv LED 50 inches, na Boss fridge kubwa + Dstv king'amuzi.. vyote vimetumika miezi mitatu tu! YaanI almost ni vipya tu! Na remote zake! Picha zitakuja baadae nikifika home!

Bei ya jumla kwa vyote ni 1.4mil ila maongezi yapo!

Vipo mbezi Africana!

0692321070
Picha tafadhali kama bado unavyo hivyo vitu
 
Thanks Wazunguray hiyo Tv ishauzwa mkuu ila mtu akitaka Tv naweza kuagiza unalipa ikifika sumsung, Lg, hisence na Sony inch yoyote au Radio hata washing machine kutoka South Africa..
 
Thanks Wazunguray hiyo Tv ishauzwa mkuu ila mtu akitaka Tv naweza kuagiza unalipa ikifika sumsung, Lg, hisence na Sony inch yoyote au Radio hata washing machine kutoka South Africa..
Umenijibu ktk post IPI,
Ile ya sumsang 42 used 750000?
Sasa naweza pata kwa BEI hyo hyo Mkuu?
 
Smart Tv ni uwezo wa Tv kuunganishwa na internet au kuweza kuwa na Facebook ikisapoti hivyo hiyo inaitwa Smart na kuna 4k TV uwezo wa Resolution katika pixels zake ingawaje zipo 8k pia hiyo ni upande wa Rangi..
 
Iris Air Plus smart television. 49inches.(Super slim) 0652045272 check me whatsapp for photos
 
Iris Air Plus smart television. 49inches.(Super slim) 0652045272 check me whatsapp for photos
ingekuwa ni vyema ungeweka bei ili mtu mapemaa anajua afuatilie au aachane nayo. kuokoleana muda kwako na kwa wengine pia
 
Back
Top Bottom