Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Mkuu sidili na used ni mpya tu mkuuMpya au used mkuu wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sidili na used ni mpya tu mkuuMpya au used mkuu wangu.
Picha ya hiyo Mali yako pliz, maana umesema used maanake haipo ktk box piga picha tuoneMpya au used mkuu wangu.
BEI gani. Hyo lg!? Bado unayo?Used LG 42 inches,LCD flat screen. Kama uko serious in pm
580k ndo sh ngapi sijaelewa mwenzenuKwa 580k nakupa Samsung 32inch mpya
Bado hii unayo kaka?Samsung plasma 43 inches used ila bado iko poaa.. 750,000.. ni mali yangu nauza.. 0713 799 522
Picha tafadhali kama bado unavyo hivyo vituHaya jamani Boss flattv LED 50 inches, na Boss fridge kubwa + Dstv king'amuzi.. vyote vimetumika miezi mitatu tu! YaanI almost ni vipya tu! Na remote zake! Picha zitakuja baadae nikifika home!
Bei ya jumla kwa vyote ni 1.4mil ila maongezi yapo!
Vipo mbezi Africana!
0692321070
Picha kaka huenda ikavutiaNauza tv hisence Hd,Led 42" kutoka south Africa..Tsh 750,000.ipo dar
Sony watt 1000 bei gani mpaka dar??
Sony mkuu sinaSony watt 1000 bei gani mpaka dar??
Umenijibu ktk post IPI,Thanks Wazunguray hiyo Tv ishauzwa mkuu ila mtu akitaka Tv naweza kuagiza unalipa ikifika sumsung, Lg, hisence na Sony inch yoyote au Radio hata washing machine kutoka South Africa..
Aahaaa, afadhali nam umenisaidia nilikuwa najiuliza, watusaidie plizNini tofauti kati ya LED,Prasma n Smart TV? Msaada wadau
Hapana mkuu nilishaiuzaBEI gani. Hyo lg!? Bado unayo?
ingekuwa ni vyema ungeweka bei ili mtu mapemaa anajua afuatilie au aachane nayo. kuokoleana muda kwako na kwa wengine piaIris Air Plus smart television. 49inches.(Super slim) 0652045272 check me whatsapp for photos