LG ni shiling ngapi na size gani?Iko lg,tcl smart na haier
Nikihitaji hii inakuja na kitu gani kingine, na naomba kujua tofauti ya hii na Samsung, lg.
Kwenye box kuna TV,remote, manual pamoja na stand ya miguu,Nikihitaji hii inakuja na kitu gani kingine, na naomba kujua tofauti ya hii na Samsung, lg.
Sent using Jamii Forums mobile app
Warrant unatoa ya mda gani?Kwenye box kuna TV,remote, manual pamoja na stand ya miguu,
Inategemea lg au Samsung model gani!kama zote ni led basi hazina tofauti
1.05m[TAG]Adulwahid[/TAG] hiyo shi ngapi?
6 months
Mkuu hii ntapata smart kwa bei ganiiiKwenye box kuna TV,remote, manual pamoja na stand ya miguu,
Inategemea lg au Samsung model gani!kama zote ni led basi hazina tofauti
Sina smart design hio
Kaka ninahitaji TV 32" brand TCL, LG au STAR X bajeti yangu ni Tshs. 380,000/-Kwenye box kuna TV,remote, manual pamoja na stand ya miguu,
Inategemea lg au Samsung model gani!kama zote ni led basi hazina tofauti
Lg au TCL mpya hupati kwa bei hio,Kaka ninahitaji TV 32" brand TCL, LG au STAR X bajeti yangu ni Tshs. 380,000/-
Sent using Jamii Forums mobile app
star x curved nch 43 ntapata kwa bei gan ?Lg au TCL mpya hupati kwa bei hio,
Star x 32 kwa sasa nimemaliza ziko star x curve 430,000/
Zipo star 32" na naweza kukuuzia kwa hiyo bei mkuu, waweza nicheki 0777650286 & 0718919725Kaka ninahitaji TV 32" brand TCL, LG au STAR X bajeti yangu ni Tshs. 380,000/-
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo usafiri ni juu yako au ya mnunuzi...? Maana najua upo zanzibar...!Zipo star 32" na naweza kukuuzia kwa hiyo bei mkuu, waweza nicheki 0777650286 & 0718919725
Juu yangu mkuuMkuu hapo usafiri ni juu yako au ya mnunuzi...? Maana najua upo zanzibar...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuchek muda si mrefu kakaZipo star 32" na naweza kukuuzia kwa hiyo bei mkuu, waweza nicheki 0777650286 & 0718919725
Poa mkuu
Hapana sina curve 43 mkuu star Xstar x curved nch 43 ntapata kwa bei gan ?