KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Ilianguka au imekufa2Waungwana LG 42ich imekufa kioo mwenye nacho hma naiuza kama ilivyo 450. njoo PM kitu kipo KG Dsm
IQ standard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilianguka au imekufa2Waungwana LG 42ich imekufa kioo mwenye nacho hma naiuza kama ilivyo 450. njoo PM kitu kipo KG Dsm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nikitaka TV zile kubwa ambazo naweza kuconect computer ikaonesha clear na kucheza magame naweza kuipata kwa bei gani?
Ilikuwaje mpaka ikawa hvyowakuuu nina shida na kioo cha LG "47"![]()
Imesimama.Mimi ninayo inch 43 brand new 670,000/ brand ni Uniwood.View attachment 536153
Nanachochukia ni mtu kupost bila kuweka beiNauza Samsung ledtv inch 55, series 5, j5100... Bei 1.5milion. Risiti ipo.
Niliinunua mwaka Jana mwezi 6 trh 24.
Bado mpya kabisa ipo kwenye box na kitabu chake kipo.
Nilihamishwa kikazi.
Naweka picha.
Picha mkuuNauza Samsung LED TV used 37" kwa 560K tu.
Iko good condition.
0715677739
Sold,inch 37 ikoPicha mkuu
Af hakuna nchi 37
IQ standard
Bado unayoMimi ninayo inch 43 brand new 670,000/ brand ni Uniwood.View attachment 536153
Yes ziko.Bado unayo
IQ standard
Mkuu una LG 43"? na bei gani nipo Dar.Yes ziko.
Ziliisha, nimezishusha jumapili.
MKUU MI SIJAMUITA TAPELI COZ MZIGO NILIUPATA LKN NAWAWEKA WENZANGU AWARE KISAIKOLOJIA TUMkuu pole kwa yaliyokukuta, lkn naomba nitofautiane na wewe katika hilo la kumuita Abdulwahid tapeli, mimi nipo bara mbali na Dar. Niliagiza mzigo wiki tatu zilizo pita na niliupata kama tulivyokubaliana, ukisema huyu ndugu ni tapeli inaniwia vigumu kukuelewa
Lg LED 43" 900,000/Mkuu una LG 43"? na bei gani nipo Dar.
Ni smart?Lg LED 43" 900,000/