Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

954bcf9598bc49e1c9dc39d01b1cde47.jpg
wakuuu nina shida na kioo cha LG "47"
Ilikuwaje mpaka ikawa hvyo

IQ standard
 
Hapa ni pazuri kua unapita pita

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Nauza Samsung ledtv inch 55, series 5, j5100... Bei 1.5milion. Risiti ipo.
Niliinunua mwaka Jana mwezi 6 trh 24.
Bado mpya kabisa ipo kwenye box na kitabu chake kipo.
Nilihamishwa kikazi.
Naweka picha.
Nanachochukia ni mtu kupost bila kuweka bei

IQ standard
 
Mkuu pole kwa yaliyokukuta, lkn naomba nitofautiane na wewe katika hilo la kumuita Abdulwahid tapeli, mimi nipo bara mbali na Dar. Niliagiza mzigo wiki tatu zilizo pita na niliupata kama tulivyokubaliana, ukisema huyu ndugu ni tapeli inaniwia vigumu kukuelewa
MKUU MI SIJAMUITA TAPELI COZ MZIGO NILIUPATA LKN NAWAWEKA WENZANGU AWARE KISAIKOLOJIA TU
 
Back
Top Bottom