Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

.
Huyu mzanzibar ni kweli tapeli huyu kuna siku namuuliza kuhusu bidhaa anajibu majibu ya ukali ndio nikajua huyu Tapeli ukiuliza sana kuhusu hali ya bidhaa au kama uko dar malipo yanakuaje ana kuwa mkali sana na hajiamini.
Usituchafue bana, huyo sio mzanzibar kabisa, nna hakika hayupo hata huku zanzibar, inawezekana yupo huko huko dar
 
Samsung LCD inch 32... aina kitako unaweka ukutani ni used bei ni fixed laki 3...
 
Sina utaalamu na tv hivyo naomba msaada wenu kwani nahitaji kununua sasa hivi,naomba nijuzwe tofauti zilizopo unapoambiwa ni smart tv,led tv,
Thanks
 




*LETS DO BUSINESS HERE*

TV / MONITOR *HP*
NCH 42'
LCD
HDMI SUPPORT
VGA
Na vituvingine vingi tu
Ni imara na warranty 1 year
*Tsh 600,000/=*

Wasiliana na +255655731345 (call/watsup)

ZIPO NYINGI HATA UKITAKA 100+ UNAPATA
 


*LETS DO BUSINESS HERE*

TV / MONITOR *HP*
NCH *23/22'*
LCD
HDMI SUPPORT
VGA
Na vituvingine vingi tu
Ni imara na warranty 1 year
*Tsh 350,000/=*

Wasiliana na +255655731345 (call/watsup)

ZIPO NYINGI SANA HATA UKITAKA 100+ UNAPATA
 
Tcl mkuu nataka kujua nchi 28 bei gani ?smart,,au lead
 
Wakuu nahitaji tv inch 40 au 43 smart brand yeyote na bei zake.
Whattssap 0753255844
 




*LETS DO BUSINESS HERE*

TV / MONITOR *HP*
NCH 42'
LCD
HDMI SUPPORT
VGA
Na vituvingine vingi tu
Ni imara na warranty 1 year
*Tsh 600,000/=*

Wasiliana na +255655731345 (call/watsup)

ZIPO NYINGI HATA UKITAKA 100+ UNAPATA
Namba haipatikani mkuu
 
Ipo star x smart 43" kwa 700000, tcl smart 43":kwa 850000, samsung smart 40" kwa 1000000
Mkuu mbona starx bei chini hivyo?
Hebu nipe tofauti na hizo zingine.
Na pia nipe bei ya za kawaida zake ambazo sio smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…