Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Usituchafue bana, huyo sio mzanzibar kabisa, nna hakika hayupo hata huku zanzibar, inawezekana yupo huko huko dar.
Huyu mzanzibar ni kweli tapeli huyu kuna siku namuuliza kuhusu bidhaa anajibu majibu ya ukali ndio nikajua huyu Tapeli ukiuliza sana kuhusu hali ya bidhaa au kama uko dar malipo yanakuaje ana kuwa mkali sana na hajiamini.