Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

1471273332637.jpg
1471273349867.jpg

TCL smart 32"
Price: 470000
 
Abdul nahutaji star x nchi 32 Niko MWANZA je mtanichaji bei gan pamoja na usafiri?
 
Hivi nikitaka TV zile kubwa ambazo naweza kuconect computer ikaonesha clear na kucheza magame naweza kuipata kwa bei gani?
 
Wakuu natafuta 32 inch flat screen kwa 350,000/=... Brand yoyote..used pia ni sawa..iwe good condition tu..
 
Chogo inchi 21, hitachi,
40,000 dar es salaam
0719538995
 
Nahitaji Samsung LED, kuanzia series 5 na kuendelea, inchi 40. Bajeti yangu haizidi 1m. Nisaidieni nami niwe kwenye ulimwengu wa flat screen
 
Back
Top Bottom