Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Poa mkuuSawa kiongozi ngoja nijipange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuuSawa kiongozi ngoja nijipange
Ongeza elfu 50 mkuu maana huko mpaka tukaitume kwa njia ya postaMkuu nipo Geita nataka LG 32 nina laki Tano,
Mkuu nimekufuatilia na nimekuelewa bidhaa zako tatzo me nipo MWANZA ss nikihitaji mzigo nitaupata kweli tena usiwe wa kubambikiziwa!?Lg 32" New model 2016
Model: 32LH50D
Price: 470000View attachment 400096View attachment 400097View attachment 400098
Unapatikana wapi mkuu
Hahaha mkuu utaupata uleule tuliokubaliana siwezi kukubambikia maana hii ndo kazi yangu, nishawatumia wengi huko mwanza, arusha na maeneo mengine, mkuu kitu kama sina nasema sina, sidanganyi hata nukta, wapo humu nimeshafanya nao biashara, natamani wangejitokeza wakakitoa shakaMkuu nimekufuatilia na nimekuelewa bidhaa zako tatzo me nipo MWANZA ss nikihitaji mzigo nitaupata kweli tena usiwe wa kubambikiziwa!?
Kama unayo tuwasiliane kwano.0764870930Habarini wakuu leo nimeuza tv yangu nikitegemea kupata tv mahal lakini niliye mtegemea analeta miyeyusho. Na watoto wananisumbua home. Tafadhar mwenye tv chogo yoyote inch 21 anipe bei tufanye biashara me niko dar
Mkuu salama tu, kuna 40" tcl smart, kuna 40" samsung smart, na lg 43" smartSalama Boss nijalie bei za smart TV inch 42 (brand yoyote hile) kikubwa hiwe smart tuu nipo dar, najua nyie waunguja waaminifu sana na hutoniangusha aseee
Nichek 0718919725 & 0777650286, mkuu ondoa shaka ntakufikishia hadi mlangoni na sitofanya usanii wowoteSalama Boss nijalie bei za smart TV inch 42 (brand yoyote hile) kikubwa hiwe smart tuu nipo dar, najua nyie waunguja waaminifu sana na hutoniangusha aseee