Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nina sansan inch 22" ipo kwenye hali nzuri 240k..karibu pm tuongee
 
1473690845714.jpg
 
Attachments

  • 1473690885714.jpg
    1473690885714.jpg
    46.7 KB · Views: 74
  • 1473690957160.jpg
    1473690957160.jpg
    40.2 KB · Views: 69
Nahitaji Tv ya Sony LED ichi 32 mbovu lakini kioo kiwe kizima,bei isizidi laki 2
 
Mkuu nimekufuatilia na nimekuelewa bidhaa zako tatzo me nipo MWANZA ss nikihitaji mzigo nitaupata kweli tena usiwe wa kubambikiziwa!?
Hahaha mkuu utaupata uleule tuliokubaliana siwezi kukubambikia maana hii ndo kazi yangu, nishawatumia wengi huko mwanza, arusha na maeneo mengine, mkuu kitu kama sina nasema sina, sidanganyi hata nukta, wapo humu nimeshafanya nao biashara, natamani wangejitokeza wakakitoa shaka
0718919725, 0777650286 kwa mawasiliano zaid
 
Habarini wakuu leo nimeuza tv yangu nikitegemea kupata tv mahal lakini niliye mtegemea analeta miyeyusho. Na watoto wananisumbua home. Tafadhar mwenye tv chogo yoyote inch 21 anipe bei tufanye biashara me niko dar
 
Kama unayo tuwasiliane kwano.0764870930
 
Salama Boss nijalie bei za smart TV inch 42 (brand yoyote hile) kikubwa hiwe smart tuu nipo dar, najua nyie waunguja waaminifu sana na hutoniangusha aseee
Mkuu salama tu, kuna 40" tcl smart, kuna 40" samsung smart, na lg 43" smart
 
Salama Boss nijalie bei za smart TV inch 42 (brand yoyote hile) kikubwa hiwe smart tuu nipo dar, najua nyie waunguja waaminifu sana na hutoniangusha aseee
Nichek 0718919725 & 0777650286, mkuu ondoa shaka ntakufikishia hadi mlangoni na sitofanya usanii wowote
 
Wakuu once again natafuta brand new TV Inch 21 Flat screen, Samsung, LG or Sony. Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom