Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Ninahitaji Flat TV mbili LED 32" aina yoyote (Budget 300,000 each)
 
Mkuu fazam
1474468924103.jpg
1474468947019.jpg
1474468989582.jpg
1474469009999.jpg
1474469042327.jpg
 
1475000111580.jpg
nauza Panasonic inch 50 kwa sh 1,300,000/=kwa mawasilino piga 0713449460/0755206666/0784449460
 
Mwenzenu nataman kuwa na tv hata ya chogo jamani nashindwa kununua flat kwasbb ya hela jaman plsssssss mwenye hata chogo hata ya chini ya elfu 50 aniuzie yaan iwe ni pamoja. Na kunisaidia tu maana napenda kuwa na tv ila sina pesa
 
Mkuu samsung smart 32" ni 600000
Tcl smart 32" 450000
Mkuu shukrani sana..Mzigo nishaupata kuna vijana wangu walikuja officine kwako last week ijumaa ukawahuduhumia fresh wamesharudi dar na kunikabidhi nimeutest nimeridhika now...!! Wall mount zake vp...nasikia uliishiwa so zikiingia naomba tuwasiliane nahitaji nayo!!
 
Back
Top Bottom