Denis Mgulambwa
Member
- Jul 31, 2012
- 7
- 8
Smart TV inch 65 Bei gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nahitaji TV ambayo ni nzuri ambayo nikiconnect na kompyuta naweza kucheza magame kwa resolution nzuri na vigezo vingine muhimu isizidi 700000 na kama Kuna uwezekano niwekee na pichaSamsung led 40", series 5 bei ni 750000
Lg led 42" LF55 bei ni 820000
Tcl smart tv 40" ndio suluhisho la tatizo lako,Mkuu nahitaji TV ambayo ni nzuri ambayo nikiconnect na kompyuta naweza kucheza magame kwa resolution nzuri na vigezo vingine muhimu isizidi 700000 na kama Kuna uwezekano niwekee na picha
Pitia hapo juu mkuu, nnazo star x 32" utaongeza 30000 tu kwa ajili ya usafiri kama upo nje ya zanzibar, au kama utakuja mwenyewe ofcn utachukua kwa bei hiyohiyo 320000
Shukran, frigi mkuu sina labda nikuskilizie kwa majirani apa ambao wanadili nazoMkuu asante kwa TV, naenjoy tu hapa. Vipi huna friji unafanyie mpango wa moja ndogo?
Mkuu naweza kupata tv yoyote iwe flat au chogo walau ya 100000??Ok 0718919725 & 0777650286 mkuu chukua hizo no tuwasiliane zaid
Unapata chogo used kuanzia 18" hadi 20", flat unapata used 14" ila mimi sideal na hizo tv ndogo wala za usedMkuu naweza kupata tv yoyote iwe flat au chogo walau ya 100000??
OkyUnapata chogo used kuanzia 18" hadi 20", flat unapata used 14" ila mimi sideal na hizo tv ndogo wala za used
Nitakutafuta soon mkuuTcl smart tv 40" ndio suluhisho la tatizo lako,
Specifications
Model: LED40D2730
Full hd panel
Web Browser
You tube
Facebook & twitter
Wireless display
2hdmi port
1usb port
1AV IN
VGA port
Price: 650000
Contact: 0777650286 & 0718919725View attachment 427144
Pitia post za nyuma kidogo tu atakutana na brand tofauti na bei zake, au nitafute 0777650286 & 0718919725TV inches 32 napata kwa bei gan brand tofauti
Je tv zako zina warranty? Nataka hiyo LG nchi 49 smart 4k. Nipe namba yako tufanye business
Mkuu nina safar ya huko mna 55 LED samsungmkuu samsung hawatoi 42" wanatoa 40", mpya kabisa ni laki 8, series 5. karibu tupo zanzibar, mtendeni street, 0718919725
Hapana,tunazo lg smart 55"Mkuu nina safar ya huko mna 55 LED samsung