Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Sony 5.1 karaoke hometheater
Model DAV DZ 650
Price: 600000
1477490013258.jpg
1477490036618.jpg
1477490066606.jpg

Contact: 0718919725 & 0777650286
 
Sony bravia led tv 32"
Brand new 2015
Model 32R303C
1usb port
2hdmi port
Resolition: 1080i
Price: 500000
Contact: 0777650286 & 0718919725
1477550981872.jpg
1477551002006.jpg
1477551015802.jpg
 
nauza projector mini. kwa laki 2.20. ina uwezo wa inch 30 -100. napatina dar tabata 0764870930
 
Samsung led 40", series 5 bei ni 750000
Lg led 42" LF55 bei ni 820000
Mkuu nahitaji TV ambayo ni nzuri ambayo nikiconnect na kompyuta naweza kucheza magame kwa resolution nzuri na vigezo vingine muhimu isizidi 700000 na kama Kuna uwezekano niwekee na picha
 
Mkuu nahitaji TV ambayo ni nzuri ambayo nikiconnect na kompyuta naweza kucheza magame kwa resolution nzuri na vigezo vingine muhimu isizidi 700000 na kama Kuna uwezekano niwekee na picha
Tcl smart tv 40" ndio suluhisho la tatizo lako,
Specifications
Model: LED40D2730
Full hd panel
Web Browser
You tube
Facebook & twitter
Wireless display
2hdmi port
1usb port
1AV IN
VGA port
Price: 650000
Contact: 0777650286 & 0718919725
1477907330874.jpg
 
Pitia hapo juu mkuu, nnazo star x 32" utaongeza 30000 tu kwa ajili ya usafiri kama upo nje ya zanzibar, au kama utakuja mwenyewe ofcn utachukua kwa bei hiyohiyo 320000

Mkuu asante kwa TV, naenjoy tu hapa. Vipi huna friji unafanyie mpango wa moja ndogo?
 
Back
Top Bottom