Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

sony bravia inch 40 smart tv (scren mirroring)..bei 850000
20180517_140558.jpg
IMG_20180517_152835_977.jpg
IMG-20180517-WA0010.jpg
 
Naomba tena nikuombe Mkuu. Ninayo 500,000/= Mfuko wangu uko hapo na naitamani sana hiyo 40 inches ya Samsung
NAUZA sumsung flat screen TV lcd ya nchi 42 . Imetumika wiki 3 NA ninaiuza saba by nimeletewa LG nchi 55 NA kaka yangu. Ni bad mpya kabisa . Naiuza 680000. Nipigie kwa mamba 0787119969 au what's app 0689800817. Kila kitu inacho.
IMG_20180521_151346_107.jpg
IMG_20180521_151346_107.jpg
 
Habari wanabodi.
Mimi ninatafuta rimoti ya Flat TV ya Samyang made in Vietnam (rimoti yake iliharibika haifanyi kazi tena na sipendi Universal remote) anayeweza kuniuzia anitajie bei. Niliinunua TV mtaa wa Rwegasore Mwanza ila bahati mbaya namba ya simu ya mwenye duka nimeipoteza baada ya simu kupotea. Kama unayo tafadhali nitafute PM (Private Message) ya JF.
 
Back
Top Bottom