mwakizega
Senior Member
- Apr 7, 2015
- 165
- 84
Nimeomba kama inawezekana Mkuu. Wala sikuwa na maana yoyote katika kudhihaki biashara yako. Najua pia siwezi kupata mahali popote kwa bei hiyo. Kama umekwazika na lugha niliyoitumia NAOMBA RADHI SANA KIONGOZI WANGU.kama zipo sehem kwa bei hio nazitaka 10 mda huu huu
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app