Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mkuu kwanza nikupe pole sana, Tcl smart 32 zipo mpaka huko tunakufikishia kwa 440000 lakn kwakua umepata huo mtihani ntakuletea hadi hapo kwa 410000, 0777650286
Shukrani kiongozi.....isiyokuwa smart jee!? How much!?
 
Haya waungwana jipatie lg led 43" mpya ya 2018 kwa 700000 tu
Ina king'amuzi cha ndani na gemu pia
0777650286, 0718919725
20180522_091803.jpg
20180506_095733.jpg
 
Asante mkuu Salum
Mzigo umefika vyema
mkuu umepata urithi na wew kwa Salum jamaa huwa ananifurahisha na neno lake "NAKUPA URITHI TU MKUU" jumamosi nimepishana nae speed pale airport Dar na tv kubwa hivi namuuliza mkuu vipi mbona speed akajibu "Jamaa ameshalipia Dstv huko Arusha tv na remote ninavyo mimi na leo UEFA namkimbizia URITHI WAKE[emoji2]
 
mkuu kumbe ulikuwa wew mdau alinikimbiza sana yule ila alichofanywa na kipa wao UEFA ikageuka stress
 
Mwenye anahitaji TV chogo! Ipo TV inch 24 bei 70k. Napatikana studio kinondoni
 
Back
Top Bottom