Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Mpaka bongo 440000Hiii bei mpaka bongo sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka bongo 440000Hiii bei mpaka bongo sio
Shukrani kiongozi.....isiyokuwa smart jee!? How much!?Mkuu kwanza nikupe pole sana, Tcl smart 32 zipo mpaka huko tunakufikishia kwa 440000 lakn kwakua umepata huo mtihani ntakuletea hadi hapo kwa 410000, 0777650286
Mkuu niwie radhi kwa kuchelewa kureply, hizo hometheater bado zipo nynngi tuMkuu hii bado ipo?
Tcl isiokua smart hamna, labda nikuletee star x kwa 350000Shukrani kiongozi.....isiyokuwa smart jee!? How much!?
hamna namna....hata hii itafaa kunisogezaa .....Ntakutafuta mkuu.Tcl isiokua smart hamna, labda nikuletee star x kwa 350000
Shukran kaka inasogeza mbona sio mbaya kabisahamna namna....hata hii itafaa kunisogezaa .....Ntakutafuta mkuu.
Mdau hii bei inatuhusu wa Tanganyika?Haya waungwana jipatie lg led 43" mpya ya 2018 kwa 700000 tu
Ina king'amuzi cha ndani na gemu pia
0777650286, 0718919725View attachment 787826View attachment 787827
Ndio kama utaifata ofcn kwetu ha Zanzibar, ukitaka tukufikishie tanganyika haitakua hiyo, itafikia 770000 mkuuMdau hii bei inatuhusu wa Tanganyika?
mkuu umepata urithi na wew kwa Salum jamaa huwa ananifurahisha na neno lake "NAKUPA URITHI TU MKUU" jumamosi nimepishana nae speed pale airport Dar na tv kubwa hivi namuuliza mkuu vipi mbona speed akajibu "Jamaa ameshalipia Dstv huko Arusha tv na remote ninavyo mimi na leo UEFA namkimbizia URITHI WAKE[emoji2]Asante mkuu Salum
Mzigo umefika vyema
pamoja mkuu karibu sana wasalimie wadau wa manyaraAsante mkuu Salum
Mzigo umefika vyema
mkuu kumbe ulikuwa wew mdau alinikimbiza sana yule ila alichofanywa na kipa wao UEFA ikageuka stressmkuu umepata urithi na wew kwa Salum jamaa huwa ananifurahisha na neno lake "NAKUPA URITHI TU MKUU" jumamosi nimepishana nae speed pale airport Dar na tv kubwa hivi namuuliza mkuu vipi mbona speed akajibu "Jamaa ameshalipia Dstv huko Arusha tv na remote ninavyo mimi na leo UEFA namkimbizia URITHI WAKE[emoji2]
[emoji2] [emoji2] mkuu nitakutafut week hii hii tuyajengemkuu kumbe ulikuwa wew mdau alinikimbiza sana yule ila alichofanywa na kipa wao UEFA ikageuka stress
sawa Tajiri[emoji2] [emoji2] mkuu nitakutafut week hii hii tuyajenge